Twitter

Karibu katika Familia ya South Nyanza Conference ya Twitter

Katika familia yetu ya zaidi ya watu 490 katika mtandao wa kijamii wa Twitter kila siku tunahabarishana habari njema za Kristo na tunatazamia kwa furaha sana ile siku utakapojiunga nasi, Karibu.