Kwa mukhtasari, hebu tuzingatie mwito wetu maalum wa Mungu kama kanisa lake la masalio wa siku hizi za mwisho za historia ya dunia……….. kutangaza ulimwenguni kote ujumbe wa malaika watatu wa Ufunuo 14 na ule wa malaika wa nne wa Ufunuo 18. Bwana anatuita sisi kuwa sehemu ya utume Wake wa siku za mwisho. Hao ndio Waadventista Wasabato—Kanisa la Mungu la masalio lililoitwa kuwasilisha kweli za thamani za Mungu kwa kila mtu ambaye atasikiliza kwa moyo ulio wazi.”
Pr. Ted N. C. Wilson, Mwenyekiti wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Ulimwenguni.
Uongozi
Kanisa la Waadventista wa sabato ni kanisa lenye uongozi wa uwakilishi. Hii inamaanisha washiriki wakiongozwa na Roho wa Mungu ndio wenye uamuzi wa mwisho kuhusu ni nani anayeongoza kanisa. Waumini wa Kiadventista hukusanyika na kuwapigia kura wawakilishi wao katika ngazi ya Kanisa mahalia, Mtaa, Konferensi, Union na General Conference. Wanachama wenyewe, wakiongozwa na Mungu, huchagua…
Read MoreIdara
Kazi ya Mungu katika jimbo la South Nyanza imegawanywa katika idara na vitengo kadhaa ili kukidhi mahitaji mbalimbali ya watu wa Mungu katika maeneo yetu. Lengo kuu la idara zote hizi ni kuutimiza vyema utume wa Waadventista wa kusaidia kila mtu kuelewa Biblia na kupata uhuru, uponyaji na matumaini katika Yesu Kristo. Idara za South…
Read MoreImani za Msingi
1. Maandiko MatakatifuMaandiko Matakatifu yaani Agano la Kale na Jipya ndiyo neno la Mungu lililoandikwa likatolewa kwa uvuvio wa Mungu, kupitia kwa watu watakatifu wa Mungu walionena na kuandika kama walivyoongozwa na Roho Mtakatifu. Ndani ya Neno hili, Mungu amemkabidhi mwanadamu maarifa yaliyo lazima kwa ajili ya wokovu. Maandiko Matakatifu ni ufunuo usioweza kukosa wa…
Read MoreUtume Wetu
TAMKO LA UTUME WA KANISA Utume wa Kanisa la Waadventista wa Sabato ni kuwaalika watu wote wawe wanafunzi wa Yesu, kutangaza Injili ya milele katika muktadha wa Ujumbe wa Malaika watatu wa Ufunuo 14:6-12, na kuuandaa ulimwengu kwa marejeo ya Kristo yaliyo karibu. UTEKELEZAJI WA UTUME WETU Kwa kuongozwa na Biblia na Roho Mtakatifu, Waadventista…
Read More