Ofisi ya Hazina
Idara ya hazina ya South Nyanza Conference inalo jukumu la kiwakili la kusimamia mali za kanisa katika konferensi hii. Kwa kushirikiana na idara zingine, idara ya hazina ya SNC husimamia mikakati ya kifedha ili kufanikisha ukuaji wa kazi ya Bwana ndani na nje ya konferensi.






WATENDA KAZI
Ofisi ya Uhasibu

NYANJIGE L. MWAILAFU

STELLA ASUBUHI

MAOMBI GEORGE

DEBORAH NYAHONYO

RACHEL MGUNDA
