Kutoka kwenye kalamu za watumishi mbalimbali wa Bwana, mahali hapa pamekusudiwa kuwa na mkusanyiko wa Mawazo, Mafunzo na Jumbe mbalimbali kutoka wachungaji, wazee, watumishi na washiriki kutoka ndani na nje ya konferensi yetu.
Wakati wa Ibada Takatifu ya Mwenyezi Mungu.
Ni wakati ambao Malaika wa Mbinguni hujumuika pamoja na wanadamu kumwabudu Mungu wa Mbinguni. Pamoja na hayo akili zote, mawazo yote ya wanadamu na fikra humwelekea Mungu wa Mbinguni Yeye akiwa ni Muumbaji na sisi tukiwa Viumbe wake. Muziki na nyimbo mbalimbali zenye Utukufu hupenya masikioni na mioyoni mwetu na hapo nafsi zetu zinainuka na…
Read MoreUpo kwa ajili ya Mungu, au Kwa ajili ya Ulimwengu?
Mungu anatamani kuona wale wanaodai kuwa wakristo wakiishi kulingana na viwango vya utauwa, jambo la kushtusha ni kuwa pamoja na kudai kwamba tu wakristo bado wengi wetu wamekua wakitaka kuishi katika viwango vya ulimwengu. Baadhi ya wanaume na wanawake wanaodai kuwa wachamungu hawamweki Mungu mbele yao, huwezi kuwatofautisha na ulimwengu katika upande wa mwonekano(mvuto), tabia…
Read MoreNitakwenda – Sehemu ya Kwanza
Utangulizi: BWANA anasema:“…… Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.Basi,enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.“Mathayo 28:18-20 Lilikuwa ni kusudi la Mwokozi kwamba baada ya Yeye kupaa mbinguni ili kuwa…
Read More