Kutoka kwenye kalamu za watumishi mbalimbali wa Bwana, mahali hapa pamekusudiwa kuwa na mkusanyiko wa Mawazo, Mafunzo na Jumbe mbalimbali kutoka wachungaji, wazee, watumishi na washiriki kutoka ndani na nje ya konferensi yetu.
Kwanini Tunakua na Makambi?
Na Mch. Amos Thobias Makambi ni mikusanyiko maarufu sana katika Kanisa la Waadventista wa Sabato inayopendwa na vijana pamoja na wazee, hiki huwa ni kipindi ambapo waadventista hukutana mahali mahali kwa ajili ya ushirika katika Neno, uimbaji, mafundisho na pengine ushirika katika chakula. Licha ya kuwa ni mikusanyiko makini na pendwa nimeona kuna haja ya…
Read MoreSiku ya Tatu: Kuwa Dhahiri
Omba kwa Dhati Mwanetu, Ovidiu, alinunua nyumba kwa bei ya chini sana, lakini nyumba hiyo ilikuwa duni na ndogo sana. Ilimlazimu kuirekebishe na kuipanua ili kutosheleza mahitaji ya familia yake. Lakini, bei zilipanda sana. Alisema mara kwa mara hata kukawa na uwezekano mkubwa kutoweza kukamilisha kazi hiyo kutokana na ukosefu wa fedha. Nilimtaka Ovidiu kuwasilisha…
Read MoreKanuni za Kukuza Ubora Kazini: Masomo kutoka kwa Muumbaji
Na Mch. Baraka Nchama Ubora kazini ni lengo kuu la kila mfanyakazi na mwajiri. Katika jitihada za kukuza ubora, tunaweza kujifunza mengi kutoka kwa Muumbaji mwenyewe. Mungu alitumia kanuni maalum katika uumbaji ambazo zinaweza kutumika kama mwongozo wa kukuza ubora kazini. Makala hii itachambua kanuni tisa za msingi ambazo zinaweza kutumika kwa mafanikio makubwa katika…
Read More