sncadventist.or.tz is a website of the Seventh-day Adventist church in South Nyanza Conference.
Seventh-day Adventists are devoted to helping people understand the Bible to find freedom, healing, and hope in Jesus.
Adventist.org ADRA Adventist World Radio Hope Channel
Imani za waadventista wasabato zinakusudiwa kuongoza maisha yako yote. Kwa kukua kutokana na maandiko yanayochora taswira ya kuvutia ya mungu, unaalikwa kuchunguza, kupata uzoefu na kumjua yule anayetaka kutufanya kuwa wakamilifu.