Makala

Kutoka kwenye kalamu za watumishi mbalimbali wa Bwana, mahali hapa pamekusudiwa kuwa na mkusanyiko wa Mawazo, Mafunzo na Jumbe mbalimbali kutoka wachungaji, wazee, watumishi na washiriki kutoka ndani na nje ya konferensi yetu.

Siku ya Tatu: Kuwa Dhahiri

Omba kwa Dhati Mwanetu, Ovidiu, alinunua nyumba kwa bei ya chini sana, lakini nyumba hiyo ilikuwa duni na ndogo sana. Ilimlazimu kuirekebishe na kuipanua ili kutosheleza mahitaji ya familia yake. Lakini, bei zilipanda sana. Alisema mara kwa mara hata kukawa na uwezekano mkubwa kutoweza kukamilisha kazi hiyo kutokana na ukosefu wa fedha. Nilimtaka Ovidiu kuwasilisha…

Read MoreLong right arrow

Kanuni za Kukuza Ubora Kazini: Masomo kutoka kwa Muumbaji

Na Mch. Baraka Nchama Ubora kazini ni lengo kuu la kila mfanyakazi na mwajiri. Katika jitihada za kukuza ubora, tunaweza kujifunza mengi kutoka kwa Muumbaji mwenyewe. Mungu alitumia kanuni maalum katika uumbaji ambazo zinaweza kutumika kama mwongozo wa kukuza ubora kazini. Makala hii itachambua kanuni tisa za msingi ambazo zinaweza kutumika kwa mafanikio makubwa katika…

Read MoreLong right arrow

Tujiandae Kwa Ajili ya Dhiki iliyo Mbele Yetu

NENO la BWANA linasema;”Nanyi mtakuwa mkichukiwa na watu wote kwa ajili ya jina langu; lakini mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka.”Mathayo 10:22 “Hakuna ulazima wa kufikiri kwamba hatuwezi kuvumilia mateso; itabidi tupitie nyakati za kutisha. Mateso ya Waprotestanti kwa Urumi, ambayo kwayo dini ya Yesu Kristo ilikuwa karibu kuangamizwa, yatakuwa zaidi ya kushindana wakati Uprotestanti…

Read MoreLong right arrow