Kutoka kwenye kalamu za watumishi mbalimbali wa Bwana, mahali hapa pamekusudiwa kuwa na mkusanyiko wa Mawazo, Mafunzo na Jumbe mbalimbali kutoka wachungaji, wazee, watumishi na washiriki kutoka ndani na nje ya konferensi yetu.
TOFAUTI KUBWA ILIYOPO KATI YA FEDHA NA WAKATI.
Na Mch Kasika. FEDHA NA WAKATI vyote ni muhimu kadri tunavyoishi, ijapokuwa umuhimu unazidiana. Fedha hutusaidia kujihudumia kimwili mara nyingi. Zinaweza kumpatia aliye nazo sifa ya kuwa, tajiri au mheshimiwa, au mtu mkubwa. Wengine zinawasafirisha sana toka sehemu moja kwenda nyingine kwa haraka. Fedha huwapatia walio nazo marafiki wenye hadhi na vyeo vya heshima katika…
Read More