Makala

Kutoka kwenye kalamu za watumishi mbalimbali wa Bwana, mahali hapa pamekusudiwa kuwa na mkusanyiko wa Mawazo, Mafunzo na Jumbe mbalimbali kutoka wachungaji, wazee, watumishi na washiriki kutoka ndani na nje ya konferensi yetu.

Kuambatana Huboresha Mahusiano

Kuambatana ni Nini Hasa? Kuambatana, kumetajwa kwa mara ya kwanza katika Mwanzo 2:24, kuelezea mahusiano baina ya mume na mke. Neno hili limebeba maana pana katika kuboresha mahusiano, siyo na wenzi wetutu bali na Mungu aliyetuumba. Linatumika kikanuni, lengo likiwa ni kuelezea mambo muhimu ya kuzingatia katika kujenga mahusiano yenye afya miongoni mwa waliokubali kujifunga…

Read MoreLong right arrow

Nidhamu Itokanayo na Utii kwa Mungu Hutibu Tamaa

Na Mch E. Kasika Ndoa haiwezi kuponya tamaa. Kama ndoa ingeliponya tamaa zinaa insingelikuwepo. Kujitawala bado ni hitaji muhimu. Tamaa haijali kuwa una ndoa au hauna. Unaweza kuwa mwenye hekima kama Suleiman, au mpenda kumsifu Mungu kama Daudi, au mwenye imani kama Ibrahim, kiongozi shujaa kama Joshua. Kama hauna nidhamu ya utii kama Yusufu, unaweza…

Read MoreLong right arrow

Unaishije na wakutendeao kwa nia mbaya?

Kama tungelipiza visasi kwa kuwachafua waliotuchafua, kama tungewaharibia waliotuharibia ili kukabiliana nao, Mungu ajuaye yote akiamua kunyanza bila kufunua ni salama? Kuna nguvu katika kukubali aibu, katika kusamehe, katika kukaa kimya, kukubali kudhulumiwa vilivyo vyetu. Kuna nguvu zaidi katika kusimama na Mungu wakati wote. (Mwanzo 45)

Read MoreLong right arrow