Makala

Kutoka kwenye kalamu za watumishi mbalimbali wa Bwana, mahali hapa pamekusudiwa kuwa na mkusanyiko wa Mawazo, Mafunzo na Jumbe mbalimbali kutoka wachungaji, wazee, watumishi na washiriki kutoka ndani na nje ya konferensi yetu.

Wakati wa Ibada Takatifu ya Mwenyezi Mungu.

Ni wakati ambao Malaika wa Mbinguni hujumuika pamoja na wanadamu kumwabudu Mungu wa Mbinguni. Pamoja na hayo akili zote, mawazo yote ya wanadamu na fikra humwelekea Mungu wa Mbinguni Yeye akiwa ni Muumbaji na sisi tukiwa Viumbe wake. Muziki na nyimbo mbalimbali zenye Utukufu hupenya masikioni na mioyoni mwetu na hapo nafsi zetu zinainuka na…

Read MoreLong right arrow

Upo kwa ajili ya Mungu, au Kwa ajili ya Ulimwengu?

Mungu anatamani kuona wale wanaodai kuwa wakristo wakiishi kulingana na viwango vya utauwa, jambo la kushtusha ni kuwa pamoja na kudai kwamba tu wakristo bado wengi wetu wamekua wakitaka kuishi katika viwango vya ulimwengu. Baadhi ya wanaume na wanawake wanaodai kuwa wachamungu hawamweki Mungu mbele yao, huwezi kuwatofautisha na ulimwengu katika upande wa mwonekano(mvuto), tabia…

Read MoreLong right arrow

Maombi: Pumzi ya Roho

Na Elder Winani S. Winani. Neno la Bwana linasema: “Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa;kwa maana kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa.Au kuna mtu yupi kwenu, ambaye, mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe? Au akiomba samaki, atampa nyoka?Basi ikiwa ninyi, mlio waovu, mnajua kuwapa watoto wenu vipawa vyema, je! Si…

Read MoreLong right arrow