Makala

Kutoka kwenye kalamu za watumishi mbalimbali wa Bwana, mahali hapa pamekusudiwa kuwa na mkusanyiko wa Mawazo, Mafunzo na Jumbe mbalimbali kutoka wachungaji, wazee, watumishi na washiriki kutoka ndani na nje ya konferensi yetu.

Siku ya Pili: Kuweka Wakfu na Ukumbusho

Kurejea Madhabahuni – Sehemu ya Kukumbuka Kuweka Wakfu na Ukumbusho Katika Biblia, madhabahu daima huwakilisha sehemu za kuweka wakfu na ukumbusho. Ni ishara ya nje ya uhusiano binafsi wa mtu na Mungu, ishara ya ukubali wa mtu na kumwabudu Mungu wa kweli na aliye hai. Madhabahu mara nyingi zilijengwa ili kufanya ukumbusho wa kukutana na…

Read MoreLong right arrow

Siku ya Pili: Kuweka Wakfu na Ukumbusho (Watoto)

Wazo Kuu Madhabahu daima zimewakilisha mahali pa kujitolea na ukumbusho. Ni ishara ya uhusiano binafsi na Mungu. Mungu alimwahidi Abrahamu kwamba angekuwa baba wa watoto wengi na kwamba angewapa wazao wake Nchi ya Kanaani. Ili kumheshimu na kumwabudu Mungu, Abrahamu alijenga madhabahu. Ahadi hii na tendo la ibada lilipitishwa kwa mwana wa Abrahamu, Isaka na…

Read MoreLong right arrow

Siku ya Kwanza: Uko Wapi? (Somo la Watoto)

Jambo Muhimu: Mungu Anataka Kuungana Nasi Wazo Kuu Mungu alipowaumba Adamu na Hawa, walifurahia wakati pamoja kila siku. Mungu aliwaonya wasile matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya. Lakini walichagua kumsikiliza nyoka. Adamu na Hawa hawakumtii Mungu na wakaogopa kukutana naye. Walijua kwamba walikuwa wamefanya makosa na walijificha kutoka kwa Mungu. Lakini Mungu…

Read MoreLong right arrow