Makala

Kutoka kwenye kalamu za watumishi mbalimbali wa Bwana, mahali hapa pamekusudiwa kuwa na mkusanyiko wa Mawazo, Mafunzo na Jumbe mbalimbali kutoka wachungaji, wazee, watumishi na washiriki kutoka ndani na nje ya konferensi yetu.

Siku ya Nne: Kinachomrudisha Mungu

Kurejea Madhabahuni – Jenga Upya na Atakuja – Tena! Mvua Zilipokoma Hali ya hewa siku ile ilichangamka, japo kulikuwa na hali isiyo ya kawaida ya ukimya uliotawala Mlima Karmeli. Nyakati zilizopita mlima huu ulikuwa mzuri, wa kijani na wenye kusitawi sana. Ulipata mvua ya kutosha na kutambulika kama mahali patakatifu, sehemu ya mibaraka na uzao…

Read MoreLong right arrow

Siku ya Tatu: Asubuhi na Jioni

Kurejea Madhabahuni – Mahadhi ya Maisha Maisha na Mungu Sura ya 1 Nyakati 23 hudhihirisha kwamba Mungu aliwaagiza Walawi – wale waliotunza hekalu la kale la Kiyahudi na huduma zake – kusimama katika uwepo wake wakiinua sauti zao katika kushukuru na kumsifu kila asubuhi na jioni. Zoezi hili la ibada chimbuko lake ni katika amri…

Read MoreLong right arrow

Siku ya Tatu: Asubuhi na Jioni (Watoto)

Wazo Kuu Wakiwa njiani kuelekea Nchi ya Ahadi, Waisraeli walikuwa wakitanga-tanga jangwani. Mungu aliwaagiza waunganishwe naye kwa kusali asubuhi na jioni kila siku. Walihitaji ulinzi wa Mungu, ujasiri na nguvu kwa ajili ya safari hiyo ngumu. Walipaswa kuabudu na kutoa dhabihu kwenye madhabahu asubuhi na jioni. Ilikuwa ni wakati wa shukrani na toba. Pia ulikuwa…

Read MoreLong right arrow