Kutoka kwenye kalamu za watumishi mbalimbali wa Bwana, mahali hapa pamekusudiwa kuwa na mkusanyiko wa Mawazo, Mafunzo na Jumbe mbalimbali kutoka wachungaji, wazee, watumishi na washiriki kutoka ndani na nje ya konferensi yetu.
Siku ya Saba: Kanisa Linaloabudu (Watoto)
Lengo: Mungu anahitaji tuwe na ibada binafsi na ibada ya familia Wazo Kuu Katika nyakati za Biblia, Waisraeli walijenga madhabahu ili kumwabudu Mungu, kumpa heshima, na kumsifu. Baba na Mama wanapaswa daima kujiombea wao na watoto wao. Mungu anawaagiza akina baba kuwa makuhani katika nyumba anayoongoza katika ibada ya familia, kila asubuhi na jioni. Kikundi…
Read MoreSiku ya Saba: Kanisa Linaloabudu
Kurejea Madhabahuni – Hitaji Letu la Muhimu Zaidi Ibada (isiyo) ya Kawaida Utafiti wa Waadventista wa Sabato wa dunia nzima wa mwaka 2018 uligundua kwamba ni asilimia 34 tu ya nyumba za Kiadventista inayojihusisha katika ibada za kila siku za asubuhi na jioni, na asilimia 52 tu ya washiriki wa kanisa ndio wana ibada yoyote…
Read MoreSiku ya Nne: Kinachomrudisha Mungu (Watoto)
Wazo Kuu Mfalme mwovu Ahabu na mkewe Yezebeli walitawala Israeli. Kwa sababu ya mvuto wao mbaya, watu wengi katika Israel walimsahau Mungu na kupuuza ibada. Mungu alimwita nabii Eliya kujenga upya madhabahu zilizovunjika. Eliya alipojenga upya madhabahu, alikuwa akiwaonyesha watu uhitaji wa kujenga upya uhusiano wao na Mungu na kumrudia. Eliya aliwakumbusha watu warudi kumwabudu…
Read More