Makala

Kutoka kwenye kalamu za watumishi mbalimbali wa Bwana, mahali hapa pamekusudiwa kuwa na mkusanyiko wa Mawazo, Mafunzo na Jumbe mbalimbali kutoka wachungaji, wazee, watumishi na washiriki kutoka ndani na nje ya konferensi yetu.

Tujifunze Kutoka kwa Yohana na Yuda

“Yeye asemaye ya kuwa anakaa ndani yake, imempasa kuenenda mwenyewe vile vile kama yeye alivyoenenda.” 1Yohana 2:6 Yohana na Yuda ni wawakilishi wa wale wanaodai kuwa wafuasi wa Kristo. Wanafunzi hawa wote wawili walikuwa na fursa sawa za kujifunza na kufuata Kielelezo cha Mungu. Wote wawili walishirikiana kwa ukaribu na Yesu na walikuwa na pendeleo…

Read MoreLong right arrow

Tujifunze Kutoka kwa Waisraeli wa Zamani

Waisraeli walipoingia Kanaani, hawakutimiza kusudi la Mungu kwa kumiliki nchi yote. Baada ya kufanya ushindi kwa sehemu, walitulia ili kufurahia matunda ya ushindi wao. Katika kutoamini kwao na kupenda urahisi, walikusanyika katika sehemu ambazo tayari zimetekwa, badala ya kusonga mbele ili kuchukua eneo jipya. Hivyo wakaanza kumwacha Mungu. Kwa kushindwa kwao kutimiza kusudi lake walimfanya…

Read MoreLong right arrow

Ondoka Utangaze Neno la Mungu

Na Elder Winani S. Winani Lilikuwa ni kusudi la Mwokozi kwamba baada ya Yeye kupaa mbinguni ili kuwa mwombezi wa mwanadamu, wafuasi Wake walipaswa kuendeleza kazi ambayo Alikuwa ameanza. Je, wakala wa kibinadamu haonyeshi shauku maalum katika kutoa nuru ya ujumbe wa injili kwa wale walioketi gizani? Kuna wengine ambao wako tayari kwenda hadi miisho…

Read MoreLong right arrow