Makala

Kutoka kwenye kalamu za watumishi mbalimbali wa Bwana, mahali hapa pamekusudiwa kuwa na mkusanyiko wa Mawazo, Mafunzo na Jumbe mbalimbali kutoka wachungaji, wazee, watumishi na washiriki kutoka ndani na nje ya konferensi yetu.

Kutunza Fedha kwa Ajili ya Utume.

Na Elder. Winani S. Winani Neno la BWANA linasema: “Mheshimu BWANA kwa mali yako, Na kwa malimbuko ya mazao yako yote.Ndipo ghala zako zitakapojazwa kwa wingi, Na mashinikizo yako yatafurika divai mpya.” Mithali 3:9,10 Ingawa anaweza kuwa maskini, kijana ambaye ni mwenye bidii na mwenye uwezo wa kiuchumi anaweza kuweka akiba kidogo kwa ajili ya…

Read MoreLong right arrow

Chukizo la Uharibifu Huenda Sambamba na Hukumu ya Upelelezi

Watu wengi wanaofuatilia kutimia kwa unabii, hutumia muda mrefu na kwa makini kufuatilia jinsi unabii wa Ufunuo 13:11-18 unavyotimia haraka. Wafuatiliaji wa karibu wa matukio,hupenda kuonyesha na picha za ushahidi wa viasharia. Hili ni jambo zuri lakini halitakiwi liwe ndilo kipaumbele chetu. Kwa nini? Baada ya unabii wa siku 2,300 wa Daniel 8:13,14, kumalizika mwaka…

Read MoreLong right arrow

Matendo ya Mwili Huathiri Mahusiano

Mioyo iliyovunjika haiwezi kutiwa moyo na nyuso zilizokasirika au na sauti kali isiyo na upole au huruma. Watu wenye mawazo mengi na waliokata tamaa hawasaidiwi kurejesha matumaini na mtu aliye mbali, akidai kuwa anawaombea Mungu awasaidie. Kufariji hudhihirishwa na kujali kwa matendo mema yaonyeshayo huruma. Ni kweli kuwa maombi husaidia, lakini uwepo wa mfariji unaongeza…

Read MoreLong right arrow