Kutoka kwenye kalamu za watumishi mbalimbali wa Bwana, mahali hapa pamekusudiwa kuwa na mkusanyiko wa Mawazo, Mafunzo na Jumbe mbalimbali kutoka wachungaji, wazee, watumishi na washiriki kutoka ndani na nje ya konferensi yetu.
Kwanini Tunakua na Makambi?
Na Mch. Amos Thobias Makambi ni mikusanyiko maarufu sana katika Kanisa la Waadventista wa Sabato inayopendwa na vijana pamoja na wazee, hiki huwa ni kipindi ambapo waadventista hukutana mahali mahali kwa ajili ya ushirika katika Neno, uimbaji, mafundisho na pengine ushirika katika chakula. Licha ya kuwa ni mikusanyiko makini na pendwa nimeona kuna haja ya…
Read MoreUpo kwa ajili ya Mungu, au Kwa ajili ya Ulimwengu?
Mungu anatamani kuona wale wanaodai kuwa wakristo wakiishi kulingana na viwango vya utauwa, jambo la kushtusha ni kuwa pamoja na kudai kwamba tu wakristo bado wengi wetu wamekua wakitaka kuishi katika viwango vya ulimwengu. Baadhi ya wanaume na wanawake wanaodai kuwa wachamungu hawamweki Mungu mbele yao, huwezi kuwatofautisha na ulimwengu katika upande wa mwonekano(mvuto), tabia…
Read MoreMiti Milioni 8
Na Mch. Sam Neves Kanisa la Waadventista Wasabato limekusudia kusambaza nakala bilioni 1 za kitabu cha Pambano Kuu cha Ellen G. White kote ulimwenguni katika lugha mbalimbali ifikapo mwishoni mwa mwaka 2024. Waadventista wengi wamefurahi na wanasubiri kwa hamu kununua vitabu hivyo na kuanza kuvigawa. Hata hivyo, wapo wengine wanaoshangaa kuhusu gharama na ufanisi wa…
Read More